News

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limesema baadhi ya vinywaji vikali vimebainika kupunjwa viwango vya kilevi. Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dk.Ashura ...
Alisema ni “mpango mkubwa” kwa wafanyakazi wa magari wa Marekani. Lakini nje ya Marekani, baadhi walishutumu vikali hatua ya hivi karibuni ya Trump. Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz alisema ...
Timu hizo ndizo zinazotamba katika ligi hiyo kwani zinachuana vikali kuwania nafasi mbili za kwanza ili kupata nafasi ya kufuzu moja kwa moja kupanda Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2025/2026.
Akizungumza kwenye mkutano huo uliofanyika leo katika uwanja wa Mwembetogwa, CPA Makala alikosoa vikali kauli za wapinzani kuhusu mchakato wa Katiba Mpya, akiwataja kuwa wanaangalia zaidi maslahi yao ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kkuhudumia watoto UNICEF leo limelaani vikali uporaji wa vifaa muhimu vya kibinadamu kutoka Hospitali ya Al Bashair huko Jabal Awlia, mjini Khartoum. Vifaa vilivyoibiwa, ...
Soma pia: Trump kuandaa kituo cha Guantanamo kwa ajili ya wahamiaji 30,000 Jaji Patricia Millett, ambaye aliteuliwa na Rais Barack Obama, alikosoa vikali hatua hii, akisema kuwa wahamiaji ...
Sugu amesema kwa sasa ameamua kuwa mtulivu akisubiri wagawe ili kuona mpira ukifika uwanjani kuamua ni mguu wa kushoto au kulia wa kupigia danadana, huku akikanusha vikali taarifa zilizomtaja kuwa ...
Viongozi wa Umoja wa Mataifa leo wamelaani vikali mashambulizi ya anga ya Israel huko Ukanda wa Gaza na kutoa wito kwa kusitisha uhasama mara moja. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ...
“Hiki ni kitendo kinachopaswa kulaaniwa vikali na Waafrika wote na watu wengine duniani, wanaothamini na kutukuza misingi ya udugu iliyowekwa na viongozi waasisi waliopigania Uhuru wa Bara hili,” ...
Urusi na Ukraine zimeshambuliana leo Jumatano kwa droni, na kusababisha uharibifu mkubwa katika vinu vya nishati na kusababisha umwagaji damu. Kushambuliana huku kunatokea katikati ya kiwingu cha ...